Agosti 17, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
Month: August 2024

Dar es Salaam. Ushiriki mdogo wa Watanzania hususan, wanawake na vijana katika uwekezaji kwenye soko la mitaji na dhamana umeusukuma uongozi wa soko la Hisa

Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Bi. Ruth John akizungumza na Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Fedha na washirika wa sekta ya fedha nchini

Hakimu wa mahakama nchini Marekani amemnyima dhamana mshukiwa wa mauaji ya Tupac Shakur mwaka 1996 huko Los Angeles. Kiongozi wa zamani wa genge la Los

CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga sc wa klabu bingwa barani Afrika. “Moja kati ya vigezo

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq Ghulam Isaczai akitembelea eneo la mradi wa maji. Credit: UN in Iraq Maoni na Ghulam Isaczai (baghdad,

Zogo limesikika mitandaoni baada ya Rais, Samia Suluhu Hassan kutamka simba aliyewekwa bandani kwa ajili ya maonesho wakati wa Tamasha la Kizimkazi 2024, aitwe Tundu
Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imevuka lengo la ukusanyaji mapato,baada ya kufanikiwa kukusanya mapato ya zaidi ya shilingi bilioni 2.17 sawa na asilimia

Mchezaji wa klabu ya Nacional ya Uruguay, Juan Izquierdo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 27. Izquierdo alilazimika kuondoka

Ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ambayo ni endelevu, ni lazima tujifunze kuukubali ukweli halisi jinsi ulivyo na kukitokea tatizo, tukabiliane nao kwa kutafuta ufumbuzi