Dar es Salaam. Wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam wanatarajia kunufaika na mradi mpya wa kimataifa unaolenga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi
Month: August 2024

Na Mwandishi Wetu. Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) inaendelea kuunda Mfumo wa Jamii

Wanasayansi kadhaa kutoka Afrika, Ulaya na Marekani wameliambia shirika la habari la Reuters kwamba kuna mambo mengi yasiyojulikana kuhusu kirusi chenyewe, ukali wake, na jinsi

Mwanza. Mkazi wa Kitongoji cha Nyakasenge wilayani Magu mkoani Mwanza, Warioba Lucas, maarufu ‘Wevi’ (41) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Magu mkoani humo akiuguza

Kwa hakika wameshangaa kwa nini hawapo 10 Bora ya nchi zinazoleta watalii kwa wingi na wameshangazwa zaidi na uzuri wa Tanzania; huo ndio mtazamo wa

SASA ENDELEA… JINA langu naitwa Enjo. Ni mtoto wa tatu katika familia ya mzee Sebastian Chacha. Wa kwanza alikuwa mwanaume. Jina lake ni Raymond au

David Cooper, Naibu Katibu Mtendaji, Mkataba wa Anuwai ya Baiolojia (CBD), Waziri wa Mazingira wa Kanada Steven Guilbeault, Waziri wa Mazingira wa Colombia Susana Muhamad

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha maelekezo ya Serikali yaliyotolewa hivi karibuni kwa wananchi wa

Hayo ni wakati Ukraine ikisema kuwa askari wake wamekamata udhibiti wa kubwa la mkoa wa Kursk nchini Urusi tangu walipofanya uvamizi wa kushtukiza wiki tatu

Njombe. Watu wawili Furahini Kipela (50) na Josephat Kiduligo (48), wanaoishi Mtaa wa Mapinduzi, Kata ya Lyamkena, Halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe, wanashikiliwa