Na Mwandishi Wetu, Arusha. Tanzania inajivunia hatua ilizochukua za kuziba pengo la kidijitali nchini kwa kuongeza upatikanaji wa huduma bora za mtandao wa kasi kwa
Month: August 2024

Frank akaagiza ugali kwa kuku. Menyu ilipofika kwangu nikachagua pilau ya kuku na bilauli ya juisi. “Natoka kazini.” Frank akaniambia mara tu mhudumu alipoondoka. Akaongeza.

Walipokutana leo mjini Beijing, Sullivan na Wang Yi walisema kwamba wanatarajia kufanya mazungumzo yenye tija. Sullivan amesema anasubiria mikutano kati yake na Wang ambapo wataangazia masuala

Moshi. Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, linamshikilia mkazi wa Kibosho Kirima, Wilaya ya Moshi, mkoani humo, Rose Apolinary Kimaro, (57) kwa tuhuma za mauaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mkoani Kilimanjaro tayari

JIONI tulipokuwa tunataka kutoka kazini Flora akampigia mwenye nyumba wake.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa jitihada kubwa za kuimarisha utendaji wa Sekta ya Bandari Nchini unaowezesha

Mwaka huo wa 2015, Rais wa Burundi wakati huo, Pierre Nkurunziza alikiuka katiba na kugombea tena muhula wa tatu uongozini, hatua iliyosababisha machafuko makali yaliosababisha

Moshi/Dar. Nini hasa kimewasukuma Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, wasaidizi wake wizarani na vigogo wa Jeshi Polisi kukaa kitimoto kipindi hiki? Hili ndio

Na Said Mwishehe, Michuzi TV ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa amejiunga