ILIPOISHIA… Nikahisi alikuwa mzungu mwenyeji kwani alikuwa akiifahamu vyema lugha ya Kiswahili. “Bila samahani, niombe tu.” Nikamjibu. “Lakini natanguliza samahani, sijui kama utaridhika.” Aliponiambia hivyo
Month: August 2024

NA MWANDISHI WETU MENEJA Miradi ya Nishati Safi ya Kupikia kutoka Kampuni ya Oryx Gas Tanzania Peter Ndomba amesema mashindano ya kupika kwa gesi ya

Muungano wa vyama vya mrengo wa kushoto wa New Popular Front, NFP, uliibuka kwenye uchaguzi huo ukiwa kundi kubwa zaidi, lakini ukikosa wingi wa kutosha

Sumbawanga. Aliyefungua kesi ya kudai fidia ya zaidi ya Sh306.6 akwaa kisiki Mahakama Kuu Tanzania. Limi Mchome mwenye ualbino, alifungua kesi ya madai akiwadai Kamanda

LIPOISHIA…Akanyamaza kidogo kisha akaniuliza.“Tukutane saa ngapi?”“Kama saa kumi jioni hivi.”Ningeweza kukutana naye wakati wowote lakini niliona nimtajie tu muda huo ili aone nilikuwa mtu wa

Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari amesema Jumanne kuwa Qaid Farhan Alkadi, mwenye umri wa miaka 52 ameokolewa katika handaki la chini ya ardhi wakati

Dar es Salaam. Umajumui wa Afrika, uzalendo na uzoefu ndizo sababu zilizotajwa na baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki kama turufu kwa Raila Odinga katika

Mwandishi Wetu,Dodoma MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Philip Mpango ameisihi benki ya NMB kuwafikia watu wengi zaidi kwa ajili ya

KARIBUNI… Hakuna anayejali maumivu ya mshumaa unaomwaga machozi ambayo huwafurahisha watu kwa kusambaza mwanga unaoangaza pande zote bila kujua kila chozi linalodondoka huwa lina maumivu

Mchakato wa kuwania uongozi wa kamisheni ya Umoja wa Afrika umeanza rasmi baada ya Raila Odinga kuzinduliwa kuwa mwakilishi wa Afrika Mashariki. Odinga anashindana na