Mikopo: Hadynya/iStock na Picha za Getty kupitia Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) Maoni na Lonkeng wa kila wakati (Porto-Novo, Benin) Jumanne, Februari 04, 2025
Day: February 4, 2025

Dar es Salaam. Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umesema Serikali ina taarifa rasmi ya watu 24 wanaoaminika kuwa Watanzania wanaoshikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji na

Agizo kuu la Rais Trump la Januari 20 linasikitisha “na tunatumai Amerika itafikiria tena,” alisema WHO Mkurugenzi Mkuu Tedros Adhanom Ghebreyesus, katika hotuba kwa Bodi

Muda mfupi baada ya kocha Sead Ramovic kubwaga manyanga, Yanga leo, Februari 4, 2025 imetangaza kumchukua kocha wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud kuziba pengo

Simba bado haina uhakika wa kumtumia mshambuliaji wake Kibu Denis katika mechi inayofuata ya Ligi Kuu dhidi ya Fountain Gate, Alhamisi, Februari 6, 2025. Mshambuliaji

Arusha: Mume wa mwalimu mstaafu aliyefariki dunia kwenye ajali ya gari amesimulia jinsi mkewe, Apaikunda Ayo (61), alivyojipanga kutumia fedha za mafao kununua gari la

Dodoma. Bunge limeazimia Serikali itekeleze mpango wa kupata rasilimali za ndani kupambana na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi bila kutegemea msaada wa

Kuelezea Chama cha Mapinduzi (CCM), kilivyoweza kutimiza umri wa miaka 48, kikiwa madarakani, inavutia kukopa kifungu cha maneno ya Kiingereza “stand the test of time”

-Yakaribia 60% ya lengo ukusanyaji maduhuli kwa mwaka 2024/2025 -Yaita wawekezaji wakubwa kuwekeza Sekta ya Madini MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini