Mbezi Juu Yafurahia Ujio wa Meridianbet – Global Publishers

Kurejesha kwa jamii haitakiwa mpaka uwe na utajiri mkubwa sana, bali ni moyo tuu basi hivyo ndivyo Meridianbet hufanya mara nyingi. Na leo hii ilikuwa zamu ya wakazi wa Mbezi Juu.

Meridianbet, kama sehemu ya juhudi zake za kijamii, imefanya zoezi la upandaji miti katika Kata ya Mbezi Juu, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kudumisha na kulinda mazingira. Zoezi hili limefanyika kwa ushirikiano na jamii ya Mbezi Juu, ambapo wananchi walishirikiana kwa karibu na viongozi wa eneo hilo katika kupanda miti ya aina mbalimbali.

Kupanda miti ni hatua muhimu katika kulinda rasilimali za asili, na Meridianbet imejitolea kutoa mchango wake kwa kuhakikisha mazingira yanaboreshwa na kuimarishwa. Miti iliyopandwa inatarajiwa kusaidia katika kupunguza mabadiliko ya tabia nchi, kutunza vyanzo vya maji, na kuboresha hewa katika eneo hilo.

Kumbuka kuwa ili kupiga pesa zaidi, cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Meridianbet inaamini kuwa suala la mazingira linahitaji ushirikiano wa karibu kutoka kwa sekta mbalimbali, na kwa hiyo, inajivunia kuwa sehemu ya juhudi za kuhakikisha kuwa Mbezi Juu inakuwa ni mfano wa maendeleo endelevu na uhifadhi wa mazingira. Kampuni hiyo inasisitiza kuwa upandaji miti ni mchango mdogo lakini muhimu katika mapambano dhidi ya uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi.

Zoezi hili linadhihirisha dhamira ya Meridianbet katika kuunga mkono jamii, huku ikihamasisha wananchi kushiriki katika kuhifadhi na kutunza mazingira yao kwa faida ya vizazi vijavyo.

Akizungumza wakati wa tukio hilo, Mwakilishi wa Meridianbet alisema: “Sisi kama Meridianbet tunaamini katika kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii tunayohudumia. Kupitia mpango huu wa upandaji miti, tunalenga kuboresha mazingira na kuhakikisha kizazi cha sasa na kijacho kinapata faida za miti, ikiwa ni pamoja na hewa safi na ardhi yenye rutuba. Tunawashukuru wote walioungana nasi katika kampeni hii muhimu.”

Meridianbet imekuwa mstari wa mbele katika kutekeleza miradi ya kijamii (CSR) kwa kuwekeza katika mazingira, elimu, afya, na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Kampuni inaendelea kujitolea kwa dhati kuboresha maisha ya Watanzania kupitia programu mbalimbali za kijamii.

Lakini kumbuka kuwa siku ya leo unaweza ukabashiri na Meridianbet mechi za leo kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili hapa.

Related Posts