Mara. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira amewakosoa wanaosema chama hicho hakijafanya lolote tangu kiingie madarakani, akisema hata elimu waliyonayo imetokana na chama hicho.
Author: Admin

Bukoba. Upanuzi wa bandari ya Bukoba uliokuwa umesimama kutokana na kukumbwa na changamoto ya mwamba uliobainika chini ya maji katika ziwa Victoria mkoani Kagera, sasa

Mwanza. Wanafunzi Magreth Juma (8) wa darasa la pili na Fortunata Mwakalebela (5) wa Shule ya Blessing Modern, iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela mkoani Mwanza waliotekwa

Geita. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema machafuko na vita vinavyoendelea katika mataifa mengine iwe somo kwa Watanzania kuepuka maneno ya uchochezi yanayotolewa na wanasiasa wasiotaka

MAADHIMISHO ya kilele cha wiki ya Anwani za Makazi yamefanyika leo jijini Dodoma, yakiongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa

DC SAME AAGIZA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOKUSANYA MAPATO KUBORESHA NA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO.
Na Mwaandishi wetu Michuzi Tv Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amezitaka taasisi za serikali zinazokusanya mapato kupitia utoaji wa huduma mbalimbali

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Febuari 2025 ambapo bei hizo zimetajwa kupanda.

Na John Walter -Babati Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki, ametoa onyo kali kwa wale wanaotembea kuwashawishi wajumbe ili wawapigie

Dar es Salaam. Kukosekana umeme wa uhakika na kutokuwapo usawa sokoni kumetajwa kuwa sababu ya viwanda, vikiwamo vya chuma kushindwa kufanya kazi kwa kiwango kinachotakiwa

RAUNDI ya 18 ya Ligi Kuu Bara itaanza kesho kwa michezo miwili kupigwa kwenye viwanja viwili, mchezo wa mapema saa 10:00 jioni utapigwa CCM Kirumba