Mkuu wa Baraza la Ulaya, Antonio Costa Baraza la Umoja wa Ulaya (EU) limeonya kuhusu matokeo ya hatua ya Marekani ya kuiwekea
Category: Habari

-Asema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274. -Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei. Kufuatia maelekezo ya

Dar es Salaam. Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) wamepitisha azimio la pamoja

Mwanza. Wamepatikana. Ndilo neno lenye uzito wa kuelezea taarifa ya Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusu kupatikana watoto wawili waliotekwa wakiwa kwenye basi la shule jijini

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA). Kabla ya uteuzi huo, Athumani alikuwa

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Mwenza wa Urais Tanzania Bara, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahimiza wanachama wa Jumuiya ya Umoja wa

Rais wa Marekani Donald Trump Rais wa Marekani Donald Trump rasmi ametia saini amri ya kufungia msaada wa kifedha kwa Afrika Kusini,

Mara. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira amewakosoa wanaosema chama hicho hakijafanya lolote tangu kiingie madarakani, akisema hata elimu waliyonayo imetokana na chama hicho.

Bukoba. Upanuzi wa bandari ya Bukoba uliokuwa umesimama kutokana na kukumbwa na changamoto ya mwamba uliobainika chini ya maji katika ziwa Victoria mkoani Kagera, sasa

Mwanza. Wanafunzi Magreth Juma (8) wa darasa la pili na Fortunata Mwakalebela (5) wa Shule ya Blessing Modern, iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela mkoani Mwanza waliotekwa