Geita. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema machafuko na vita vinavyoendelea katika mataifa mengine iwe somo kwa Watanzania kuepuka maneno ya uchochezi yanayotolewa na wanasiasa wasiotaka
Category: Habari

MAADHIMISHO ya kilele cha wiki ya Anwani za Makazi yamefanyika leo jijini Dodoma, yakiongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa

DC SAME AAGIZA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOKUSANYA MAPATO KUBORESHA NA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO.
Na Mwaandishi wetu Michuzi Tv Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amezitaka taasisi za serikali zinazokusanya mapato kupitia utoaji wa huduma mbalimbali

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Febuari 2025 ambapo bei hizo zimetajwa kupanda.

Na John Walter -Babati Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki, ametoa onyo kali kwa wale wanaotembea kuwashawishi wajumbe ili wawapigie

Dar es Salaam. Kukosekana umeme wa uhakika na kutokuwapo usawa sokoni kumetajwa kuwa sababu ya viwanda, vikiwamo vya chuma kushindwa kufanya kazi kwa kiwango kinachotakiwa

Arusha. Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha. Upungufu huo wa kifedha umetokana na baadhi

Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuwa walinzi wa miundombinu iliyowekwa kwa ajili ya anuani za makazi, akieleza Serikali imetumia gharama kubwa kuisimika kurahisisha

Mufindi. Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Mafinga, wilayani Mufindi Mkoa wa Iringa limetenga Sh15.6 milioni kwa ajili ya malipo ya watumishi waliokuwa wakilipwa

Dar es Salaam. Katika kukabiliana na mdondoko wa wanafunzi shuleni na janga la ajira kwa vijana nchini, unasihi kwa wanafunzi umetajwa kuwa suluhisho la kuwaelekeza