Mwanza. Mwandishi wa Habari Mwandamizi na mtangazaji wa Kenya, Leonard Mambo Mbotela, amefariki dunia kwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua, tovuti ya Kenyans.co.ke imeripoti. Kifo cha Mbotela
Category: Magazeti

Dar es Salaam. Watendaji wakuu wastaafu wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) wamemwelezea aliyekuwa kiongozi mkuu wa madhehebu ya Ismailia duniani, Mtukufu Aga Khan

Dar es Salaam. Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan,

Mwanza. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha Mtukufu Aga Khan, kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani. Mtukufu Aga Khan anayefahamika

Alhamisi Januari 30, 2025 itakumbukwa kuwa siku iliyoacha huzuni kwa wanazuoni, masheikh, wanafunzi wa taaluma za dini ya Kiislamu na Waislamu wa Tanzania kwa kuondokewa

HATUA ya wachezaji watatu wa Singida Black Stars kutangazwa kupewa uraia wa Tanzania na kuthibitishwa na Idara ya Uhamiaji, imeibua mijadala kuanzia mtaani hadi katika

Dar es Salaam. Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ameeleza kukerwa na tetesi za mitandao ya jamii ilivyovumisha jina lake kuwa miongoni mwa wanaotajwa kuwa makamu

NA DENIS MLOWE IRINGA JUMLA ya timu 120 zinatarajiwa kushiriki mashindano ya soka yanayojulikana kwa jina la Vunjabei Cup 2025 yatakayozinduliwa rasmi Januari 11 mwaka

Mjadala mkubwa umeendelea nchini tangu Desemba 12, 2024 baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kutangaza kugombea uenyekiti wa chama hicho, akishindana na

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 7, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti