RAUNDI ya 18 ya Ligi Kuu Bara itaanza kesho kwa michezo miwili kupigwa kwenye viwanja viwili, mchezo wa mapema saa 10:00 jioni utapigwa CCM Kirumba
Category: Michezo

KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema sababu kubwa za mshambuliaji nyota wa timu hiyo, John Bocco kushindwa kucheza mchezo wa juzi wa Ligi Kuu

SOKA lina burudani yake, lakini ndani ya wanaocheza pia wana burudani zao mbalimbali ambapo timu nyingi zikiwa kambini baadhi ya wachezaji hugeuka na kuwa burudani

NYOTA Mtanzania aliyetambulishwa na Wydad Casablanca ya Morocco, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ amesema amefarijika kutimiza ndoto ya kucheza soka la kulipwa na sasa anajipanga ili kufanya

WAKATI Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah akichekelea kuanza kwa kishindo kibarua, winga machachari wa timu hiyo, Beno Ngassa, amesema mechi dhidi ya Simba

UPEPO umebadilika! Ndio, kiungo Yusuf Kagoma amejipatia umaarufu baada ya wababe wa Kariakoo, Simba na Yanga kumnyatia na mmoja kati yao kuwa na kisu kikali

KIPIGO cha mabao 6-1 ilichopata KenGold kutoka kwa Yanga kinaiuma timu hiyo iliyosema hasira na machungu wanatarajia kumalizia kwa Fountain Gate watakaoumana nao Jumatatu kwenye

UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini unaambiwa Hashim Omary alivishwa jezi

Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka akihoji wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Star (SBS), kupewa uraia imepangwa kutajwa kwa mara

MAKOCHA na wachezaji wa zamani wamemkingia kifua winga wa Simba, Ladaki Chasambi kwa kosa lililotokea juzi wakiliomba benchi la ufundi kuzungumza naye na kuendelea kumpa