MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo CAS imeanza kufanya mambo yake ikiwasiliana rasmi na wahusika wakuu kesi ya klabu ya Yanga iliyofungua shtaka ikipinga

Mshauri mkuu wa Bangladesh Prof. Muhammad Yunus hukutana na Rais wa China Xi Jinping katika Jumba Kuu la Watu huko Beijing siku ya tatu ya

FARIDA MANGUBE, MOROGORO Menejimenti ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) imeandaa futari maalum kwa Wanajumuiya wa Kiislamu wa Chuo hicho ikiwa ni sehemu

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Bi. Mary Maganga akihutubia katika Kikao cha Nne cha Baraza la Tano la

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha na maafisa wa Polisi Mkoa wa Shinyanga wakiwa wamepanda moja ya magari ya polisi maalum kwa shughuli

Upandaji wa miwa mbele ya Hifadhi ya Msitu wa Serikali uko chini ya uwakili wa jamii katika wilaya ya Chiradzulu. Watu kutoka kijiji chini huchukua

-Asema Rais Samia ametoa mkono wa kheri ya Eid Ul-Fitr kwa watoto wenye uhitaji kutoka katika makao mbalimbali ndani ya Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa

Na Oscar Assenga, TANGA ZAIDI ya Wananchi 9,450 wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga wanatarajiwa kuondokana na changamoto ya upatkanaji wa maji baada ya Serikali

Geita. Mmiliki wa gari iliyokamatwa na polisi ikidaiwa kusafirisha dhahabu kupitia njia ya magendo, amekiri kuwa hakujua gari lake lilikuwa Kahama, mkoani Shinyanga. Gari hiyo

Na Ashrack Miraji Michuzi Blog Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, ndugu Ostadh Rajabu Abdullaman, amesisitiza umuhimu wa kuitunza amani katika