Kamishna Jenerali Philippe Lazzarini alikata rufaa hiyo taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa X, zamani Twitter. Alibainisha kuwa miezi 15 baada ya vita kuanza
Year: 2024
Mnamo Agosti 1999, Vladimir Putin aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Shirikisho la Urusi, na mwishoni mwa mwaka huo, alichukua nafasi ya Rais Boris Yelzin aliyekuwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amesema Serikali itaendelea kuunga Mkono Matamasha yenye Manufaa na tija kwa Ukuaji wa Uchumi wa nchi.
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 1,2025 About the author
Kampuni ya Bittech ikishirikiana na KMC FC kugawa vifaa vya shule kwa watoto yatima wa Umra Kampuni ya Bittech kwa kushirikiana na KMC FC imefanya
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2024 Tanzania ilikumbwa na jinamizi la ajali za barabarani, akieleza idadi ya watu waliofariki dunia ni
-Asema Watanzania tunapaswa kumuunga mkono WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiheshimisha Tanzania katika hamasa ya matumizi ya nishati safi
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imefungua tawi jipya kuwapa wananchi nafasi kuwa karibu na huduma ili pale wanapopata changamoto za kiafya wasichukue muda mrefu
Abu Qasra, ambaye hapo awali alikuwa mtaalamu wa kilimo na kiongozi wa kijeshi wa kundi la Kiislamu la Hayat Tahrir al-Sham (HTS), alitoa mchango muhimu
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe (kulia) akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto.Mhandisi James Jumbe (katikati) akizungumza wakati