WAHARIRI na Waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali nchini wamepatiwa mitungi 100 ya Kilo 15 yakiwa na majiko yake yenye sahani mbili ikiwa ni sehemu
Month: April 2024
MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa boti
Dar es Salaam. Matunda ya ziara ya siku tano ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Uturuki kwenye sekta ya elimu yataanza kuonekana mwaka 2025, imeelezwa.
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limetoa elimu ya matumizi salama ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo na wasambazaji wa mgodi wa
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya amefunga mashindano ya Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha kwa kuwakabidhi makombe
Na Mwandishi Wetu, Arusha WAZALISHAJI wakiwemo wajasiriamali na wananchi kwa ujumla wamefurahishwa na elimu ambayo imetolewa na maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika
KAMPUNI ya Oryx Gesi Tanzania imegawa mitungi 100 ya gesi ya kilo 15 pamoja na majiko yake yenye sahani mbili kwa wahariri na waandishi wa
Unguja. Zaidi ya watu 5,000 wanakadiriwa kukabiliwa na tatizo la afya ya akili Zanzibar. Hata hivyo, kutokana na udhaifu wa usajili wa wagonjwa, idadi inaelezwa
Na Mwandishi Wetu Serikali ya Tanzania imesema kuwa watu wake hakika haina asili wanasimama katika mshikamano na Watu wa Asili duniani kote ambao ni wakazi
Wanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha wamefanya matendo ya huruma kwa kutoa fedha na vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 11,557,000/=