Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu unazidi kuikaribia Yanga na sasa inahitajika kupata ushindi katika mechi tano na sare moja kati ya mechi nane
Day: April 20, 2024
Kiungo wa Yanga SC, Stephanie Aziz Ki, amesema ana furahi kuona ile ahadi yake ya kufunga bao katika Kariakoo Dabi, ameitimiza. Aziz Ki alimuahidi Mjumbe
Unaweza kusema ni kama makocha wa timu zote mbili, Miguel Gamondi wa Yanga na Abdelhak Benchikha wa Simba wamekutana na sapraizi, baada ya kulazimika kufanya
Serikali za Tanzania na Zambia zimefanikiwa kufuta kero nne kati ya kero 15 zilizokuwepo awali ili kurahisisha michakato ya biashara ya nchi hizo kutegemeana kibiashara.
Mbeya. Serikali imezifunga shule nne zilizoko katika Kata ya Katumba Songwe wilayani Kyela Mkoa wa Mbeya kutokana na kuzingirwa na maji ya mafuriko. Maji
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KAMPUNI ya Oryx Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation wamekabidhi mitungiya gesi ya kupikia ya Oryx 50 kwa wauguzi
Bw. Mohamed Ally, mkurugenzi wa miradi wa kampuni ya GSM Tanzania (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Kiyoyozi mmoja wa wadau wa vifaa vya kielektroniki vya Haier
Kibaha. Miaka 300 iliyopita duniani hakukuwa na sukari, hali inayoelezwa iliwaepusha binadamu kupata magonjwa yanayotokana na matumizi ya bidhaa hiyo. Kutokana na hilo, imeelezwa wakati
Sare isiyo ya mabao iliyopata watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri ikiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo, imeiweka
Ileje. Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya Ileje mkoani Songwe limemtaka Mkurugezi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Nuru Kindamba ajitathimini katika usimamizi wa fedha za