Waziri Mkuu,Majaliwa aweka jiwe la msingi la ujenzi wa kitega uchumi cha jiji la Tanga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kitega Uchumi cha  Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange, Aprili 22, 2024.

Wengine walio hudhuria ni pamoja na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Rajab Abdallah, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Buriani, Meya wa Jiji la Tanga, Abdulrahman Shillow na kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mohammed Salim.

 

Related Posts