Picha: Naibu Waziri Mkuu Biteko alivyowasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya nishati 2024/2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko (Mb), leo Aprili 24, 2024 amewasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 katika Mkutano wa Kumi na Tano Kikao cha Kumi na Tatu.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Related Posts