Dar es Salaam. Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinatarajiwa kuwakutanisha wakuu wa mataifa saba ya Afrika, watakaohudhuria tukio
Day: April 25, 2024
Benki ya CRDB kupitia sera yake ya uwekezaji kwa jamii, Aprili 24 – 25, 2024 ilikabidhi madarasa mawili katika Shule ya Sekondari Kikilo na madarasa
Mkuu wa Mkoa wa Geita , Martine Shigela na Mkuu wa wilaya ya Geita Hashim Komba pamoja na wananchi wa Mji wa Geita wamekusanyika katika
Dar es Salaam. Waliokuwa wapangaji katika nyumba zinazoathiriwa na mradi wa uendelezaji Bonde la Mto Msimbazi wenye mikataba na wasio nayo, wote watafidiwa Sh170,000. Awali,
Na WAF, TABORA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameziasa Kamati za Ulinzi na Usalama nchini kuona umuhimu wakuifanya ajenda yakutokomeza Malaria iwe yakudumu
USHINDI wa mabao 5-2 ilioupata Azam FC dhidi ya KMKM, umeifanya timu hiyo kufuzu fainali ya Kombe la Muungano, michuano inayofanyika kwenye Uwanja wa New
Home ยป PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 26,2024 About the author
Dar es Salaam. Utafiti umebaini asilimia 79 ya wanasiasa wanawake wanaotumia mitandao ya kijamii nchini Tanzania walidhalilishwa kwa kufanyiwa ukatili wa kijinsia wa aina mbalimbali
Na Mwandishi WetuBARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), Kanda ya Magharibi, limewapatia elimu wanafunzi 5,000 katika shule za
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mengi nchini zinatarajiwa kukoma Aprili 28, 2024. TMA