Dodoma. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema atamwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na viongozi wakuu wa Serikali wazisihi wizara na
Day: April 29, 2024
Dodoma. Wakati Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, Serikali imesema suala la kukazia hukumu na adhabu ya kifo ni vitu ambavyo vinafanyiwa kazi,
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Shally Raymond amesisitiza pendekezo la muda mrefu la baadhi ya wabunge la kuhasiwa wanaume wanaopatikana na hatia
MITAA iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi Meridianbet
Dar es Salaam. Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Madeni Kipande (66) na wenzake watano,
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Profesa Lazaro Busagala akizungumza na waandishi na Wahariri kwenye Mkutano unaoratibiwa na Ofisi ya Msajili
Ferdinand Shayo ,Manyara . Mamia ya Wafanyakazi wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited wameshiriki maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Waziri wa Ujenzi, Inocent Bashungwa amesema baada ya mvua kuisha wataanza kujenga barabara na madaraja ya kudumu katika maeneo yaliyoathiriwa.
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), Nicolaus Mgaya amesema bado wafanyakazi wana safari ndefu ya kupata nyongeza
BAADA ya Abdelhak Bechikha kuachana na Simba kwa kile kilichotajwa ana matatizo ya kifamilia, kocha wa zamani wa timu hiyo, Patrick Aussems amesema tatizo la