Mitaa iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri nakasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi Meridianbet pale walipopita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam nakuwashika mkono wapambanaji wote.
Watu wengi walijitokeza kuona ni nini Meridianbetwamewaletea na hapo ndipo tabasamu lilipofunguka mithili yajua la asubuhi linavyochomoza, mitaa na chocho zote za Jiji la bata na salama, liliguswa kwa kupatiwa nguo za kujikinga namvua kwa Bodaboda na abiria wote, wafanyabiasharambalimbali nk
Kwa niaba ya madereva bodaboda na bajaji muwakilishi waoaliyefahamika kwa jina moja la Athuman alisema “Meridianbethakika ni mwanga wa kila mtu na leo kila mtu anafaidika namsaada huu”
Meridianbet imetoa msaada wa nguo za kujikinga na mvua kwamadereva Bodaboda na Bajaji, wafanyabiashara wa sokoniikiwa ni sehemu ya kupambana na madhara yatokanayo namvua zinazoendelea kunyesha katika Jiji hili la Dar Es Salaam. Kwa upande wa muwakilishi wa Meridianbet alisema kwamba;
“Kampuni inatambua mchango wa madereva hao, na hivyowameamua kuunga juhudi zao kwa kutoa msaada wa nguo hizoili kutoathiri kazi yao kipindi mvua inaponyesha, pamoja namadhara ya kiafya yatokanayo na kunyeshewa na mvua”
Meridianbet ni kampuni inayofanya shughuli za ubashirimitandaoni, na michezo ya kasino ya mtandaoni, kila sikuwashindi wengi wanajizolea mamilioni na kutajirika, pamoja nayote hurudisha kwa jamii kile wanachokipata.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezoya kasino ya mtandaoni upate ushindikirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwakubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovutiyao meridianbet.co.tz