NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania Mhe . Mussa A Zungu (Mb) afungua semina iliyoandaliwa na Taasisi chini ya Wizara ya Nishati, REA, Tanesco, TPDC, ECO ya kuwajengea uwezo wabunge kutokana na Maswali waliyouliza Bungeni na kipindi cha Maonesho ya Nishati yaliyofanyika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma
Semina hiyo imehudhuriwa pia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri was Nishati Mhe. Dotto Biteko (Mb) na Watendaji mbalimbali Wizara ya Nishati katika ukumbi wa Msekwa Leo tarehe 30 ‘Machi 2024.