Kwenye sherehe ya familia ya maadhimisho ya miaka 50 ya kuzaliwa kwa Muhoozi, Rais Museveni kama baba hakuzuwia hisia zake kumsifu mwanawe kuwa mzalendo na
Month: April 2024
Moshi. Miili ya watu watano, minne ikiwa ya familia moja waliofariki dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na kifusi imeagwa mjini Moshi. Kutokana na mvua
Shirika la ndege la Emirates limetangaza harakati mpya katika timu yake za shughuli za kibiashara kote Afrika, Ulaya, na Asia Mashariki kulingana na ukuaji mkubwa
Nchi zilizoendelea kiviwanda ‘lazima ziweke shinikizo kwa [mashirika ya kimataifa] kukomesha biashara haramu. … Simu za kiganjani mlizo nazo hapa katika nchi zenu zina damu
Sengerema. Wakati baadhi ya vijana nchini wakilia ukosefu wa ajira baada ya kuhitimu masomo katika vyuo vya kati na vyuo vikuu, kwa Anordy Theonest (25),
Na Mwandishi Wetu WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), wamekutana kupitia kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TMA kilichofanyika katika ukumbi wa
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Bohari Kuu ya Dawa nchini(MSD) imekubaliana kushirikiana na Bohari ya Dawa ya Sierra Leone ikizamo kubadilishana taarifa za utendaji ili
Hatua ya Umoja wa Ulaya kuaendelea kupokea mtiririko wa gesi kutoka Moscow ni kwa ajili ya kupasha joto kaya na makampuni yake, jambo ambalo hata
Dar es Salaam. Idadi ya wanaobainika kuwa na ugonjwa wa malaria imeongezeka, chanzo kikielezwa ni mabadiliko ya tabianchi yanayochangia ongezeko la mvua zinazosababisha uwepo wa
Serikali inazifungua barabara zote zilizoathiriwa na mvua za El-Nino ambazo zimeendelea kunyesha kwa muda mrefu katika maeneo mbalimbali kote nchini na kuleta uharibifu wa miundombinu