Gari ya abiria aina ya Costa yenye namba za usajili T 117 EBP imefeli breki na kugonga gari nyingine aina ya Land cruiser yenye namba
Month: April 2024
WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), wamekutana kupitia kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TMA kilichofanyika katika ukumbi wa NSSF, Morogoro
Dodoma. Wakati Wizara ya Madini imekuja na programu ya ‘madini ni mwanga kesho’ (MBT) kwa vijana na wanawake, pia imeliomba Bunge kuridhia bajeti ya Sh231.9
Na Jane Edward, Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amesema dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni (OCD), Mohamed Senkondo, kumshikilia Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Seventh Group
Dodoma. Bunifu na teknolojia 42 kati 283, zilizoibuliwa kupitia Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (Makisatu) na kuendelezwa kupitia Tume ya Taifa ya
Jumatatu, Aprili 29, 2024 – Dar es Salaam, Taasisi isiyo ya kiserikali ya The Legal Services Facility (LSF), kwa kushirikiana na Benki ya Stanbic Tanzania,
HATIMAYE Pamba ya Mwanza imefanikiwa kurudi Ligi Kuu Bara tangu ishuke daraja 2001. Klabu hiyo ambayo sasa inatambulika kama Pamba Jiji, imepanda baada ya ushindi
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mhe. Christopher Ngubiagai amewatala Maafisa Tarafa na Watendajo wa Kata kuhakikisha wanasimamia kikamilifu matumizi ya mfumo wa Force Account ili
Dar es Salaam. Ili kuimarisha utaalamu na mbinu za kisheria katika kukabiliana na uhalifu wa mtandao, Serikali inashirikiana na Urusi kubadilishana uzoefu na elimu juu