Mkurugenzi Mtendaji kituo cha uwekezaji Tanzania TIC Bw. Gilead Teri akizungumza na katika kongamano la uwekezaji katika Ukumbi wa mkutano Gran Melia Jijini Arusha, Aprili
Month: April 2024
JUMA Mgunda na Seleman Matola wanaanza kibarua chao ndani ya Simba Jioni hii. Lakini ana mechi tisa mkononi ambazo atalazimika kutembeza boli kwa namna yoyote
Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa( 2024 ), Godfrey Mzava ameeleza ,Rais Samia Suluhu Hassan yupo tayari na amekuwa na utashi kuhakikisha anashusha raslimali fedha
Dodoma. Serikali imesema mwaka wa fedha 2024/25, itajenga jumla ya nyumba za walimu 562 zinazotosha familia 1,124. Hayo yamesemwa leo Jumanne Aprili 30, 2024 na
Maeneo tofauti nchini Tanzania yanashuhudia mvua kubwa ambazo sio tu zinaathiri miundombinu na kuhatarisha usalama wa maisha ya watu bali pia inaweza kuwa hata kwa
MSIMU wa Ligi Kuu 2023/2024 unakaribia ukingoni na timu pamoja na wachezaji wanakaribia kuvuna kile walichokipanda ambacho ni ama kumaliza vizuri au kumaliza vibaya pindi
Rais wa Kenya William Ruto aliitisha kikao maalum cha baraza la mawaziri siku ya Jumanne kujadili hatua za kukabiliana na mafuriko ambayo yamesababisha vifo vya
Marekani imezitaka nchi zote zinazopeleka silaha kwa pande mbili zinazopambana katika vita nchini Sudan kusitisha hatua hiyo.Marekani imeonya kwamba historia inajirudia katika jimbo la Darfur,Magharibi
Dodoma. Katika kuongeza masoko ya kahawa inayozalishwa nchini, Serikali imebuni na kutengeneza migahawa inayotembea kwa kutumia pikipiki za miguu mitatu kwa ajili ya kuuza kahawa
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. MIILI mitano kati ya saba iliyosombwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali katika kata ya Kimochi na Mbokomu