WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ametumia takribani saa moja kuelezea maeneo ambayo yatajajadiliwa katika warsha ya Mabalozi
Month: April 2024
Watu 13 wamezuiliwa karibu na Mlima wa Hekalu la Jerusalem wakiwa na wana-kondoo na mbuzi ambao walikusudia kuwatoa dhabihu katika ibada ya Kibiblia ya Pasaka,
LINDI: A total of 13 people have died in a grisly crash on the Somanga-Kilwa highway Monday, Police said. Lindi Regional Police Commander, Assistant Commissioner
Msanii @harmonize_tz ni miongoni mwa mastaa waliofika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kumuaga aliyekuwa Mtangazaji wa Clouda Media Gadner G Habash
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League juzi Jumamosi ilinogesha shangwe
Na Mwanishi Wetu, Mtanzania Digital MABINGWA wa Promosheni Kubwa ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 waandika historia wakongwa nyoyo kwa burudani ya aina yake
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 767.2 za dawa za kulevya katika
MWENYEKITI wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare ametoa msaada wa tani tano za mchele kwa waathirika wa mafuriko wa jimbo la Mlimba
Nahodha wa Taliss Swim Club, Delbert Ipilinga amefichua siri ya kuibuka washindi wa jumla kwenye michuano ya 16 ya Klabu Bingwa Tanzania (TNCC) kuwa ni
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa na ngurumo kwa mikoa 26 ya Tanzania Bara na visiwa