Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola, amesema kupoteza tena mbele ya Yanga kumezidi kufanya safari ya ubingwa kuwa ngumu. Akizungumza baada ya dakika 90 za
Month: April 2024
Mbeya. Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ ametaja sababu zilizomvuta kuwania kiti
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema licha ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba, amekiri kuwa haikuwa rahisi huku akiwamwagia
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ili wahandisi wazawa wapewe miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali hawana budi kuungana kupata mitaji mikubwa. Hata hivyo,
Yanga imeendeleza ubabe kwa Simba baada ya kuichapa kwa mara ya pili ndani ya Ligi Kuu Bara katika msimu mmoja kutokana na kushinda mabao 2-1,
Songea. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema siasa ya vyama vingi si ugomvi, akiwataka wana-CCM na Watanzania kutoacha kuzungumza na
Dar es Salaam. Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema idadi ya vifo vilivyotokana na mafuriko katika Halmashauri ya Mlimba, mkoani Morogoro imefikia 49. Msemaji wa Serikali
Arusha.Ujenzi wa nyumba 108 za waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope, mawe na magogo ya miti kutoka Mlima Hanang unaendelea katika eneo la Gidagamowd,
Njombe. Wananchi wa Kata ya Makowo, Halmashauri ya Mji wa Njombe, wamepatiwa gari la kubeba wagonjwa litakalowapunguzia changamoto ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwimbaji wa gospo kutoka jijini Mwanza, Lemi George na kwaya ya AIC Nira, wamefanikiwa kujizolea mashabiki wapya kupitia wimbo wao