SAA chache kabla ya Yanga kuanza safari ya kuja uwanjani kiungo wa timu hiyo amewasilisha maombi kwa kocha wake ampe hata dakika 20 za mchezo
Month: April 2024
Hanang’. Aliyekukuwa mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, Petro Muray amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kupatikana na hatia ya
Hanang’. Aliyekukuwa mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, Petro Muray amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kupatikana na hatia ya
Mbeya. Maisha ya wananchi wilayani Rungwe Mkoa wa Mbeya yako hatarini, baada ya maji ya Mto Kiwira kumong’onyoa udongo na kuharibu barabara inayounganisha vijiji Kapugi
Dar es Salaam. Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner G. Habash amefariki dunia alfajiri ya leo Aprili
Dar/Mara. Biashara ya usafirishaji abiria kwa kutumia pikipiki maarufu kama bodaboda imegeuka ajira kubwa nchini ikiwa na mambo mengi ndani yake. Wapo wenye pikipiki zao
Zikiwa zimesalia takribani saa nne ili kuchezwa kwa mechi ya Watani wa Jadi Yanga dhidi ya Simba, hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, imepoa. Wakati
Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha imeendelea kuwahamisha wananchi wanaoishi mabondeni na kuwapeleka maeneo maalumu yaliyotengwa, ili kuepukana na athari za maafa ya
Iringa. Mwenyekiti wa Chama cha Historia Tanzania na Mdhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Maxmilian Chuhula amesema ipo haja kwa wasomi
Wikiendi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kutakuwa na Dabi ya Kariakoo, ikiwa ni dabi ya tano Afrika kwa ukubwa, macho