Dodoma. Bunge limeelezwa kuwa watumishi 430 wataajiriwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika mwaka 2024/25. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema hayo leo
Month: April 2024
JUMAMOSI ya wiki hii, kuna Kariakoo Dabi inapigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, Yanga ni wenyeji wa mchezo huo wa Ligi Kuu Bara
Dodoma. Serikali imesema tathmini iliyofanyika nchini inaonyesha gharama kubwa ya fidia ya mali zilizomo ndani ya eneo la hifadhi ya barabara lililoongezwa la mita 7.5
SIMBA inatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo alasiri, ikitokea Zanzibar ambako iliweka kambi ya siku tatu, kujiandaa na Kariakoo Dabi dhidi ya mtani wake
UKISIKIA mwisho wa ubishi ndio huu wakati vigogo vya soka nchini, Simba na Yanga zitavaana katika mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Bara. Ndio, kesho
Nairobi. Jenerali Francis Omondi Ogolla amekuwa mkuu wa kwanza wa vikosi vya ulinzi nchini Kenya kufariki dunia akiwa madarakani, baada ya ajali ya helikopta iliyoua
Mbeya. Hospital ya Rufaa Kanda ya Mbeya (MZRH) imepokea kitanda cha kisasa cha upasuaji chenye thamani ya Sh37 milioni ambacho kinatumia mifumo ya kidigitali na
Dar es Salaam. Jaji mstaafu, Robert Makaramba amesema kuheshimu na kulinda uhuru wa wanahabari ndiyo msingi wa usalama wa Taifa lolote duniani. Amesema kuminya uhuru
TUNAENDELEA na simulizi zetu za mechi ijayo ya watani wa jadi, Aprili 20 mwaka huu…yaani Jumamosi hii! Hii ni mechi ya kwanza tangu Yanga wawape
Dodoma. Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Suleiman Haroub Suleiman amesema Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Salmin Amour Juma anaishi katika hali ngumu baada ya nyumba