JUMAMOSI ni Dabi. Yanga ambayo ndio wenyeji wa mchezo huu,misimu miwili nyuma ilikuwa ikiongozwa na kocha Nasreddine Nabi kabla ya kuja kwa Miguel Gamondi na
Month: April 2024
PRESHA ya mchezo wa ‘Kariakoo Dabi’ kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati ikibakia siku moja tu kwa miamba hiyo kushuka
Mwisho wa tambo kwa mashabiki wa Yanga na Simba ambao kila mmoja anavutia ushindi upande wake ni Jumamosi kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa ambapo hii
Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi), ikipanga kutumia Sh190.57 bilioni kwa ajili ya ununuzi wa magari
LONDON, ENGLAND. LIVERPOOL na West Ham United zimetolewa katika michuano ya Europa League, baada ya kushindwa kupindua meza katika michezo ya mkondo wa pili. West
Dar es Salaam. Ni uchungu kwa ndugu pale mpendwa wao anapoangukia kwenye unywaji wa pombe wa kupindukia. Mara nyingi hufanya jitihada za kusaidia na wengine
Mwanza/Kagera. Kauli ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Faris Buruhan ya kulitaka Jeshi la Polisi kutowatafuta vijana wanaotukana viongozi mtandaoni pindi watakapokuwa
Kenya. Hofu imetanda nchini Kenya baada ya helkopta ya jeshi iliyokuwa imembeba Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo (CDF), Jenerali Francis Ogolla kupata ajali leo
Dar es Salaam. CRDB Bank Foundation (CBF) imetenga kitita cha Sh750 milioni ili kuwapa mitaji wezeshi wakulima wadogo wa shayiri kwenye mikoa ya Kaskazini. CBF
Mbeya. Serikali imesema bado kuna dawa na vifaa tiba vyenye nembo ya Serikali zinazokamatwa kwenye maduka ya dawa na hospitali na maabara za watu binafsi