Vijana hao wamekuwa maarufu kutokana na kuogopeka na wakazi wa Arusha kwa madai kuwa ni vibaka na wezi wa kutumia vitu vyenye ncha Kali kama visu, mapanga na bisibisi.