*Sloti ya Zombie Apocalypse
WENGI wetu hupenda filamu za Mazombie huwa zinatisha kidogo lakini huwa zinakuwa na hisia Fulani hivi ya msisimko, iko hivyo unapokuwa unacheza mchezo wa kasino ya mtandaoni wa Zombie Apocalypse msisimko huwa pale unaposhinda Mamilioni kwa dau dogo. Jisajili Meridianbet kisha ingia mchezoni ufurahie ushindi.
Hatua za Ushindi Kasino ya Mtandaoni
Mchezo wa Zombie Apocalypse ni mchezo wa kasino ya mtandaoni wenye mistari 20 ya malipo, ushindi wote hulipwa kutoka kushoto kwenda kulia, isipokuwa alama ya Bonasi.
Kwenye mstari wa ushindi ni ushindi mkubwa pekee unaolipwa. Alama ya Wild hubadilisha alama zote isipokuwa ishara ya Bonasi za Kasino. Dau la chini katika kasino ya mtandaoni hii ni kuanzia Tsh 10 sawa na 1.00 PTS.
Jinsi ya Kucheza Zombie Apocalypse.
Kutengeneza ushindi mwingi kupitia kasino ya mtandaoni, bonyeza kitufe cha kubashiri/Gamble na ujaribu kukisia kama kadi/karata inayofuata ni nyekundu au nyeusi ukipatia ushindi wako utaongezwa mara mbili Zaidi na kama utakosea basi ushindi wako utafutwa.
Sloti ya Zombie Apocalypse inakupa nafasi ya kupata mizunguko ya bure pale tu unapoanza kucheza, mizunguko hii inaipata kwenye namba hizi 9,10,11,12,13,14 au 15. Kila alama ya Wild inayoonekana kwenye mzunguko ina nyongeza mara 2 au 3.
Kasino ya mtandaoni ina Jackpoti za aina 3 tofauti za Jackpot ambayo mchezaji anaweza kutarajia ushindi. Mchezaji anapobofya spin, asilimia kadhaa ya hisa zake huingia kwenye sehemu ya jackpot. Jackpot inayoendelea inakua, inakuwa kubwa zaidi na zaidi, hadi mchezaji mmoja atashinda. Zawadi ya jackpot huhamishiwa moja kwa moja kwenda akaunti ya pesa ya mchezaji.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya kasino na mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza. Pia una nafasi ya kuwa tajiri kwa kubashiri michezo mingi kwa odds kubwa.