Ingia katika ulimwengu wa zawadi za kushangaza:
Jishindie sehemu ya zawadi zenye thamani ya Tsh Bilioni Moja (1,109,338,868)
pale unapocheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa watengenezaji wa
michezo ya kasino Wazdan.
Karibu katika ushindi
usio na kifani! Burudika na Meridianbet unapocheza kasino ya mtandaoni na
jishindie sehemu ya zawadi zenye thamani ya Tsh Bil 1 na bonasi za kasino kama
zote. Kwa kujisajili
na Meridianbet unakuwa na sifa za
kushiriki kwenye promosheni hii kubwa Zaidi kwa sasa pale Meridianbet.
Meridianbet kwa ushirikiano
na mtoa huduma Wazdan wamezindua promosheni ya kusisimua ambayo itadumu
kwa miezi mitano! Kuanzia tarehe 29 Aprili hadi tarehe 29 Septemba, unapata
fursa ya kujishindia sehemu ya zawadi zenye thamani ya hadi 1,109,338,868.
Wakati unacheza mchezo
huu wa kasino ya
mtandaoni labda wewe ndiye
utakayekuwa na bahati na kushinda moja au zaidi ya zawadi za fedha
zilizochaguliwa.
Ikiwa unataka kuwa sehemu
ya mchezo huu uliopewa jina la Mystery Drop, ni rahisi tu kuweka dau stahiki
kwa sababu katika promosheni hii yenye michezo ya kasino ya mtandaoni hakuna
vigezo vya chini vya dau kwa kila mzunguko.
Ili kucheza promosheni
hii weka dau unalotaka, Jisajili, na cheza michezo ya kasino ya
mtandaoni inayopatikana kutoka kwa
mtoa huduma Wazdan.
Zawadi za pesa taslimu
100,000 zitagawiwa kwa wachezaji wenye bahati zaidi na ikiwa bahati itakuwa
upande wako, unaweza kushinda moja au zaidi ya zawadi!