MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO AKABIDHIWA KITABU CHA MIAKA 60 YA JMT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe
. Dkt. Philip Mpango
akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia ambaye ni mmoja wa Waandaaji
wa Kitabu hicho Mhe. Mahmoud Thabit Kombo. Makabidhiano hayo yamefanyika OfisiNI
kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.


 

Related Posts