Mjumbe kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Singida Ndg Ahmed Misanga ambae pia ni mratibu wa shughuli za wazazi ikungi ametoa Vifaa
Day: May 6, 2024
Na Jane Edward, Arusha Sheikh Hussein Said Junje, Sheikh wa Wilaya ya Arusha Mjini amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya. Hayo yamesemwa leo (Mei 6, 2024) na
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa kuyasimamia na kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai. Aidha, amesisitiza kwamba ni
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia timu ya watalaamu wa
Kibaha. Wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mitaa nchini kote leo Mei 6, 2024, wameanza mafunzo ya siku tatu yenye lengo la kuwaongezea mbinu za
Dar es Salaam. Tarehe 6 Mei 2024: Benki ya CRDB imeandika historia nyingine kwa kupokea cheti cha kimataifa cha masuala ya mazingira baada ya
Dar es Salaam. Katika jitihada za kuongeza matumizi ya nishati safi katika shughuli mbalimbali, wadau mazingira wamekuja na njia tofauti za kuhakikisha watu wanahama katika
Dodoma. Ni matumaini makubwa kwa familia ya Joseph Kalenga na mkewe Vumilia Elisha baada ya watoto wao Imani (7) na Gloria Joseph (4) waliokuwa na
Dodoma. Kilio cha gharama za usafirishaji wa mizigo, mfumuko wa bei na uharibifu wa barabara nchini, Serikali imevipatia ufumbuzi kwa kufungamanisha reli zote tatu za