Dar es Salaam. Zaidi ya Watanzania 7,200,000, sawa na asilimia 12, wanaugua ugonjwa wa pumu unaoathiri mfumo wa upumuaji, huku wengi wao wakiwa ni watoto
Day: May 7, 2024
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Balozi wa Switzerland nchini Mhe. Didier Chassot
Mbeya. Madaktari bingwa 15 wanatarajiwa kuwafanyia uchunguzi wa saratani wanawake zaidi ya 1,000 jijini hapa wakati wa Tamasha la ‘Usiku wa Mama’ litakalofanyika Mei 14,
Timu ya madaktari bingwa 30 waliowasili mkoani Njombe wameanza kutoa huduma katika hospitali za wilaya zote mkoani humo huku wito ukitolewa kwa wananchi kujitokeza kupata
Geita. Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino) mwenye umri wa miaka 10 anayesoma darasa la nne Shule ya Msingi Maalumu Katoro mkoani Geita, amenusurika kufa
Serikali ya Tanzania na China zimesisitiza kuimarisha ushirikiano wa kimkakati ili kuendelea kutekeleza diplomasia ya uchumi kwa maslahi ya pande zote mbili. Msisitizo huo umetolewa
Dar es Salaam. Ikiwa imepita takribani wiki moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kudai kuna fedha zimemwagwa kuvuruga uchaguzi wa ndani ya
Kilwa. Wakati saa 72 zilizotolewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kwa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) kukamilisha ujenzi huo zikikamilika, uwezekano kazi hiyo kukamilika
HATIMAYE leo hii ndio kitaeleweka nani aende Nusu Fainali na nani arudi nyumbani kwenye ligi za mabingwa ambapo leo na kesho kitawaka vilivyo yaani ni
Musoma. Kisiwa cha Nyasahungu kilichopo ndani ya Ziwa Victoria wilayani Musoma, Mkoa wa Mara kimezama baada ya maji kuongezeka ndani ya ziwa hilo. Kisiwa hicho