Picha: Matukio katika picha Uzinduzi mkakati wa Nishati Safi ya kupikia DSM

Ni Mei 8, 2024 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzinduzi Mkakati wa Tais wa matumizi ya Nishati Safi ya kupikia 2024-2034.

hafla hiyo inafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.

Kaulimbiu: “Nishati Safi ya Kupikia kwa kila Mtanzania”

Hizi ni Picha mbalimbali za Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.

.
.
.
.
.
.
.
.
.

 

 

Related Posts