Picha: Naibu Waziri Mkuu Biteko akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Warioba Mkoani Dodoma

Ni mei 9, 2024 ambapo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mhe. Sinde Warioba mara baada ya ufunguzi wa warsha ya Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Halmashauri kutoka Tanzania Bara kuhusu Usimamizi na Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai Mkoani Dodoma.

Related Posts