Dar es Salaam. Ndege ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), Boeing Dreamliner ipo kwenye matengenezo makubwa ya lazima katika mji wa Kuala Lumpur, nchini
Day: May 10, 2024
Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amewataka wanahabari kuwa mabalozi wa utalii, kuandika taarifa zinazowavutia watalii kutoka nje na ndani ya nchi. RC Malima ameyasema
Dodoma. Wakati Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akisema suala la ufinyu wa bajeti ya Wizara ya Maji litajadiliwa kati ya Kamati ya Bajeti na
RAIS DKT. MWINYI AMTEMBELEA ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA AMANI ZANZIBAR MHE. HASSAN RAJAB NYUMBANI KWAKE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Bw. Hassan Rajab aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Amani
Dar es Salaam. Wiki moja baada ya Mwananchi kuripoti tuhuma za ofisa wa Polisi kudaiwa kumpiga risasi Ronald Mbaga wakati akimhoji kwa tuhuma za kuiba
Na Mwandishi Wetu BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia kwa kishindo na kwa asilimia mia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti
Bukoba. Binti mmoja mwenye umri wa miaka 19 amefariki dunia kwa mafuriko yaliyoukumba mji wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na
Dodoma. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameiagiza Serikali kupeleka bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mafao ya Wastaafu ili kuweka riba kwa mifuko
Tanga. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian amezitaka taasisi na mamlaka zinazosimamia Kituo cha Huduma Jumuishi cha Horohoro kufuatilia na kudhibiti utoroshaji wa
Dar es Salaam. Umewahi kufikiria kuwa simu yako inaweza kukutajirisha kwa kuingiza fedha nyingi, endapo utaitumia kwa usahihi mtandaoni? Eva Damba, mkazi wa Iringa anasema