Picha: Waziri Aweso alivyowasili Bungeni siku ya pili kuwasilisha bajeti Wizara ya maji 2024/25

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso akiwasili Bungeni ikiwa ni siku ya pili ya Mjadala wa Waheshimiwa Wabunge juu makadirio ya Bajeti ya wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2024 / 25, jijini Dodoma leo Mei 10 2024.

The post Picha: Waziri Aweso alivyowasili Bungeni siku ya pili kuwasilisha bajeti Wizara ya maji 2024/25 first appeared on Millard Ayo.

Related Posts