WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani, ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa mwilini. “Kama mnavyofahamu, michezo ni
Day: May 11, 2024
Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali inaendelea na mchakato wa kuandaa mfumo mmoja wa ukusanyaji wa kodi kwa wafanyabiashara nchini ili
Unguja. Wakati sekta ya ujenzi ikitajwa kuwa miongoni mwa zinazochangia kwa kiasi kikubwa kuharibu mazingira, wahandisi wameshauriwa kujifunza matumizi ya teknolojia ya chuma ambayo ni
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati-Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Ubinadamu; -Ombi la ruzuku kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania lafanyiwa
Morogoro. Kutokana na uhaba wa viti, meza na madarasa, wanafunzi wa sanaa katika Shule ya Sekondari Ifakara wilayani Kilombero, wanalazimika kutumia maabara kusoma masomo yasiyohusiana
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mwenyekiti mwenza katika mkutano wa nishati safi ya kupikia kwa Afrika utakaofanyika nchini Ufaransa. Anatarajiwa kuondoka nchini
MABIBGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet imefika kigamboni leo siku ya kina Mama duniani na kufanikiwa kutoa msaada katika Zahanati inayopatikana Mji mwema. Anaripoti Mwandishi
Dodoma. Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (Red Cross Society) kikiadhimisha miaka 62 tangu kilipoanzishwa, kimekumbuka ushiriki wake katika kuhudumia waathirika wa ajali za MV Bukoba
Dar es Salaam. Wakati kukiwa na mkazo wa masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM), wadau wa elimu wamebuni mpango wa kujifunza kuanzia ngazi
Dar es Salaam. Wakati kikao cha siku tatu cha Kamati Kuu ya Chadema kikianza leo Mei 11, 2024, baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa kanda