Meridianbet yatoa msaada Kigamboni siku ya Mama Duniani

MABIBGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet imefika kigamboni leo siku ya kina Mama duniani na kufanikiwa kutoa msaada katika Zahanati inayopatikana Mji mwema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Meridianbet wamekua na utaratibu wa kurudisha kwenye jamii yake pale ambapo wanahitajika na ndio walichokifanya leo, Kwani wametoa msaada wa vitu mbalimbali kama unga, mafuta, sukari, mchele, lakini pia wametoa sabuni na khanga

Kampuni hiyo imekua ikihakikisha wanakwenda kusaidia watuambao wana uhitaji mkubwa katika jamii yao, Huku ikiwa ndiosababu ya wao kufika katika Zahanati hiyo inayopatikana mjimwema Kigamboni na kutoa msaada katika siku ya kina Mama.

Muwakilishi wa kampuni ya Meridianbet katika tukio hilobwana Abubakar Kulindwa alipata nafasi ya kuzungumza nakusemaSisi kama taasisi tumekua tukiguswa mara nyingi nachangamoto ambazo zimekua zikiikabili jamii yetuinayotuzunguka na ndio sababu kubwa ya sisi kupatamsukumo wa kufika hapa leo na kutoa msaada huu haswakatika siku kubwa kabisa ya kina Mama duniani

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya itakayopigwakatika ligi mbalimbali barani ulaya leo Jumapili. Machaguozaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Haikuishia hapo kwani kwani muwakilishi wa Zahanati hiyoalipata nafasi ya kuweza kuzungumza machache na zadi ilikuani shukrani ambayo aliitoa kwa taasisi hiyo kwakua na moyo wakurudisha kwenye jamii yake mara kwa mara kwani sio taasisizote zinakumbuka matatizo yanayoikumba jamii yao.

Related Posts