Dar es Salaam. Wizara ya Afya, imeitaka jamii kujikinga dhidi ya ugonjwa wa malaria, ikitaja hatua za kuchukua kuepuka ugonjwa huo, huku takwimu zikionyesha kuongezeka
Day: May 12, 2024
KAMPUNI ya Meridianbet imefanikiwa kupeleka tabasamu Kigamboni eneo linalofahamika kama mji mwema, Kwani wataalamu hao wa michezo ya kubashiri wamefika kwenye Zahanati inayopatikana eneo hilo
ALHAMISI nilikwenda uwanjani kutazama mechi ya Simba na Azam. Simba na Azam? hapana. Ni Azam na Simba. Azam walikuwa nyumbani siku hiyo. Siku hizi mechi
Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Pindi Chana amesema wizara yake kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, zinakusudia kuingiza kwenye mitalaa
HITILAFU za nyaya baharini zimesababisha kukosekana kwa huduma ya intaneti na huduma za simu za kimataifa nchini Tanzania leo kuanzia majira ya saa tano asubuhi.
Dar es Salaam. Unaweza kusema siku ya kwanza ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ilikuwa sawa na moto. Kinaelezwa
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi nchini kuongeza jitihada katika malezi na
Dar es Salaam. Mtumishi wa Halmashauri ya Kisarawe mkoa wa Pwani, Salum Kunikuni (29) amepotea tangu Aprili 23, 2024 alipokuwa anaelekea kazini akitokea nyumbani kwao
Na mwandishi wetu Tunduma KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA), Dingani Banda
HII ni kwa wapenzi wa michezo isiyo ya kasino kama vile kubashiri mubashara na kucheza bahati nasibu, ni mchezo wa Hot Shots Mines. Huu ni