Kulingana na Umoja wa Mataifa, watu 27 wamefariki dunia baada ya machafuko ya siku moja tu. Walioshuhudia wameripoti mashambulizi ya angani, makombora na makabiliano ya
Day: May 13, 2024
Dar es Salaam. Usaili wa wagombea wa uenyekiti, umakamu na wahazini wa kanda nne za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ngoma nzito ndivyo unavyoweza
DODOMA. Mei 13, 2024 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mhandisi Hamad Masauni (Mb) amezindua Nyumba za Makaazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto
Asubuhi ya Jumatatu , anga la Gaza lilikuwa limetanda moshi kutokana na mashambulizi ya mabomu na mizinga yaliyofanywa na jeshi la Israel, wakati likijaribu kujipenyeza ndani
Mbeya. Timu ya madaktari bingwa 35 imewea kambi ya siku tano jijini hapa kwa ajili ya kutoa huduma bure za uchunguzi na matibabu ya kibingwa
NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Wakala wa maji safi na usafi wa
Vita hivyo vikali vinatokana na mashambulizi ya vikosi vya Urusi vinavyojaribu kusonga mbele katika vijiji vya mpaka wa jimbo la Kharkiv. Mashambulizi mapya ya Urusi Kaskazini
Mtwara. Baada ya ufuta kuuzwa kwa Sh4,000 katika mikoa ya Lindi na Mtwara msimu uliopita Mkoa wa Songwe umeweka rekodi kwa kuuza zao hilo kwa
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imesema moduli ya mfumo mpya wa kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na rufaa kwa njia ya kieletroniki (Complaint
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amepishana na adhabu ya kifungo baada ya kupigwa faini ya Sh2 milioni kwa kosa la kufanya vurugu ikiwemo kuwashambulia kwa