Dar es Salaam. Wakati Tanzania inaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia, taasisi hiyo imeendelea kukabiliwa na changamoto lukuki ikiwamo migogoro ya
Day: May 14, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron
Morogoro. Profesa Mussa Assad anatarajia kuongoza timu ya wachumi na wataalamu wa mahesabu hapa nchini, kupitia na kubadili mitalaa ya kufundishia katika Taasisi ya Uhasibu
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WATAALAMU kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) pamoja na Wataalamu kutoka Wakala wa Karakana Kuu ya kutengeneza Magari
MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari ametoa rai kwa wataalamu kutoka nchi za Kanda ya
Mwanza. Baadhi ya wavuvi wa mikoa ya Rukwa, Kigoma na Katavi inayozungukwa na Ziwa Tanganyika wamesema hawajui hatima yao wakati ziwa hilo likifungwa. Imeelezwa kuwa
Na mwandishi wetu, morogoro Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limezindua Program ya Imarisha Uchumi na Mama Samia katika Mkoa wa Morogoro kwajili ya kuvitambua
Dar es Salaam. Aliyekuwa Msajili wa Ardhi Msaidizi, kutoka Wizara ya Ardhi mkoani Kilimanjaro, Emmanuel Bundala (41) ameileza Mahakama jinsi alivyofanya uchunguzi wa hati ya
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mazingira na Nishati
DODOMA Jiji FC, imetoka suluhu na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Mchezo huo ulizikutanisha timu