Meridianbet na Airtel Money waja na promosheni mahususi kwa ajiri ya mabingwa wote wanaotumia airtel, hii ni kwa wote wateja wapya na wale walipo ukitaka kutafuta tobo la mabingwa basi meridianbet tumekutobolea tobo la kutoboa kibingwa.
Kila siku mabingwa wanapatikana ndani miezi mitatu hata wewe unaweza kuwa bingwa, mashujaa wanafurahia kutoboa kibingwa na meridianbet hasa ukitumia airtel money, kuanzia leo hii ya tarehe 13 Mei hadi siku ya kilele Julai 13 ni miezi ya mabingwa tu kwetu.
Promosheni hii inaanza leo hii tarehe 13 mwezi Mei hadi Julai 13 na ni kwa wale ambao wanatumia mtandao wa Airtel pekee ambapo mteja ilikushiriki promosheni hii inabidi aweke pesa kwenye akaunti yake ya Meridianbet kuanzia shilingi elfu 25000 na kuendelea.
Allan Rwegebora, Meneja Mwandamizi wa Promosheni hii kutoka meridianbet amewasihi wadau mbalimbali kuichangamkia promosheni hii kwani zawadi zipo nyingi na kila mtu ananafasi ya kushinda kwa kufuata vigezo na masharti.
Weka pesa kadri uwezavyo kujiwekea nafasi ya kuibuka mshindi pamoja na mizinguko ya bure kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni.
Ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
Pia Meridianbet kwa kuzingatia promosheni hii ukubwa wake, kuna zawadi za wiki zinazotolewa ambazo zitakuwa zikiwaniwa ambapo ni bonasi ya 10% ambayo hii itawekwa kwenye akunti moja kwa moja, Vilevile washindi watatu wenye bahati watachaguliwa kila wiki kupokea simu mpya za kisasa kabisa.
Wakati zawadi kuu itatolewa kwenye kilele cha promosheni ambapo washindi wakuu wawili siku hiyo watapata Bajaji mpya kabisa kama chombo cha usafiri kinachobamba mjini siku hizi.
Kwa kuongezea naye Maria Mwamyalla ambaye ni Meneja wa Airtel Money amewahimiza wateja wote ambao wanatumia Airtel kutumia fursa hii kwa kuweka pesa kwenye akaunti zao ambazo hutumia kubashiri na Meridianbet
“Wateja wa Airtel Money wanaweza kushinda zawadi hizi kwa kuweka pesa kwenye akunti zao za kubashiri kwa kupiga *150*60#, halafu Chagua Lipia Bili, kisha Chagua 4, weka namba ya kampuni, kisha andika 656565, kisha chagua ingiza akaunti id yako ya Meridianbet kama namba ya Kumbukumbu, na Ingiza kiasi, kisha thibitisha muamala” Alimaliza hivyo Meneja huyo.
Kumbuka kuwa washindi wa kila siku watapatikana kwa kuchezesha droo za kila siku, na droo kuu ya wiki itafanyika kila Ijumaa ambapo tangazo la washindi litafanyika kupitia mitandao ya Meridianbet ya kijamii. Jisaji na ushiriki.
Na mwisho kabisa Meridianbet na Airtel Money zinakuambia hivi muda ndio huu wa wewe kutoboa kwenye maisha shiriki kwenye Promosheni hii ya TOBOA KIBINGWA utimize ndoto zako sasa.