RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA AFRIKA NCHINI UFARANSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wenyeviti Wenza, Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre wa pili kutoka kulia, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina wa kwanza kulia pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika uliofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024.



Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na
Wenyeviti Wenza, Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jonas Gahr Støre wa pili
kutoka kulia, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi
Adesina wa kwanza kulia wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi
ya Kupikia kwa Afrika uliofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini
Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024.


Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika
uliofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa
tarehe 14 Mei, 2024. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo
wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali
Duniani.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ni
Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Afrika akishiriki Mkutano huo wa
Kimataifa  tarehe 14 Mei, 2024 katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris
nchini Ufaransa. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa
Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali
Duniani.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio mara baada
ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa
akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki
Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni
Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha
viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya
Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol pamoja na Rais wa Sierra Leone Mhe.
Julius Maada Bio mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO
Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia,
Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei,
2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa
ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.


Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya
Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao
Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati
Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa
tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo
wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali
Duniani.

 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati
(IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya
UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya
Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe
14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa
Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali
Duniani.

Related Posts