Dar es Salaam. Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) limewakamata na kuwahoji watu 27 kwa tuhuma
Day: May 15, 2024
Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Malya Tarafa ya Ibindo wilayani Kwimba mkoani humo, Fabian Pauline (32) kwa tuhuma
Arusha. Watu ambao idadi yao haikutajwa wanaotuhumiwa kumlawiti mtoto wa miaka mitatu katika Kata ya Muriet, jijini Arusha wamekamatwa. Kukamatwa kwao kunatokana na agizo la
MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari ametoa rai kwa wataalamu kutoka nchi za Kanda ya
Hai. Serikali imesema shughuli ya kuzihamisha kaya 1,712 za wilaya za Arumeru mkoani Arusha na Hai mkoani Kilimanjaro, zinazodaiwa kuvamia ardhi ya Uwanja wa Ndege
LIGI takribani nne barani ulaya leo moto utawaka kwani inakwenda kupigwa michezo kadhaa ambayo itakua inaamua hatma ya timu mbalimbali katika kubaki ligi kuu, wengine
Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema hakujawahi kuwa na hati ya kusafiria kutoka Zanzibar kwenda Dar es Salaam wala mkoa wowote bali
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Biashara, Uchumi, Nchi zinazozungumza Kifaransa na
AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA)Nicodemus Mkama amesema kitendo cha kuorodheshwa kwa hatifungani ya Kijani ya kuboresha miundombinu
Musoma. Asilimia 89 ya vyama vya ushirika mkoani Mara vilivyokaguliwa na Shirika la Usimamizi na Ukaguzi wa Vyama vya Ushirika (Coasco), vimebainika kuwa na hati zisizoridhisha