MABALOZI WA AFRIKA KUSHIRIKI MBIO ZA SIKU YA AFRIKA, KUSAIDIA SHULE ZA WENYE MAHITAJI MAALUMU

Mabalozi wa Nchi za Afrika kukimbia Mbio za Africa Day zitakazofanyika Mai 18, 2024 jijini Dar es Salaam.

Mbio hizo ni kwaajili ya kusaidia Shule za wanafunzi wenye mahitaji maalumu zilizopo katika jijini Dar es Salaam. Mabalozi hao watatoa msaada katika shule ya Uuru Mchanganyiko, Jeshi la Wkovu, Jangwani na  Pugu.

https://www.youtube.com/watch?v=-zBG3HNdiio

Related Posts