Unguja. Ili kupata Katiba mpya, maendeleo ya demokrasia, chaguzi zenye haki na utawala bora, wadau wametoa mapendekezo wakitahadharisha madai yafanyike pasipo umwagaji damu. Viongozi wa
Day: May 17, 2024
Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa tahadhari akisema wakati nchi ikifanikiwa kumnyanyua mtoto wa kike, muhimu ni kutomuacha nyuma
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Meneje wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania wa Mkoa Dodoma Mhandisi Donasiano J Shamba amesema kuwa seriakli ilitoa fedha
Dodoma. Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu, akieleza chanzo ni madeni yaliyokuwa yanamkabili. Tukio hilo
Dar es Salaam. Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua eneo la Urafiki, zikiwamo mali zilizokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) Serikali imefanya jitihada za kujenga na kupanua
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu leo Ijumaa amekabidhiwa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8, VXR na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti Chadema-Bara, Tundu Lissu amekabidhiwa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8, VXR na Jeshi la Polisi, jijini Dodoma, ikiwa
Iringa. Halmashauri ya Manispaa ya Iringa inatumia zaidi ya Sh4.4 bilioni kutekeleza miradi ya maendeleo. Imeelezwa kati ya fedha hizo, Sh2.6 bilioni zinaboresha miundombinu ya
KUELEKEA Maadhimisho ya Siku ya Vipimo Duniani inayoadhimishwa Mei 20 kila mwaka, Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA,) imeendelea kuwafikia wadau mbalimbali na kutoa elimu na