DAR City kwenye TOP 10 ya Vilabu vinavyofatiliwa zaidi

Club ya Dar City inaongoza Ligi ya mpira wa kikapu Dar es Salaam, maarufu kama Basketbol Daresalaam Lig, ikiwa na pointi 29. Wanafuatiwa na timu ya Outsiders ambao pia wana pointi 29.

Dar City pia ni timu ya Kikapu inayoongoza kwa kufuatiliwa kwenye mtandao wa Instagram kutokaTanzania.

Dar City imeshika nafasi ya 10 katika orodha ya timu za mpira wa kikapu Afrika Mashariki na Kati, huku timu za Rwanda zikiongoza.

Ligi bado inaendelea na mzunguko wa kwanza
unakaribia kumalizika, kisha munguko wa pili utaanza hadi kufikia mwezi wa Agosti mwaka huu.

Related Posts